Soma mpaka mwisho kama,
una biashara ya kutoa huduma (service based business) au kuuza bidhaa
(brick-and-mortar business), lakini unakabiliana na changamoto hizi;
✔ Unapoteza muda mwingi kufanya vitu vinavyojirudia
✔ Wateja kukwazika na kuondoka wanaposhindwa kuhudumiwa vizuri na kwa wakati
✔ Hauna mfumo wa kuendesha na kufuatilia maendeleo ya biashara
✔ Unakosa fursa za kuongeza wigo wa mapato
Inajumuisha;
| Kutoweza kuoanisha idadi ya mzigo ulioingia kwenye biashara na mzigo uliouzwa kwa urahisi na kwa wakati | Kutokujua mauzo ya kila siku kwa urahisi na kwa muda mfupi | Kutojua mapema bidhaa gani zinakaribia kuisha ili kuongeza mzigo mapema zaidi | Kukosa appointment na wateja wako au wateja watarajiwa | Kutokua na rekodi ya matumizi yote ya biashara na tarehe zake | Kutowatumia bei za huduma kwa wateja na watarajiwa kabla hawajatafuta biashara nyingine |
| Matangazo ya mtandaoni kutowafikia watu walengwa na kutokua na ‘active engagement‘ | Kutumia muda mwingi kwenye ku-post biashara kila siku | Kushindwa kujibu kwa wakati maswali ya watu wote walinaoulizia bidhaa au huduma walioiona kwenye matangazo yako | Kutokua na mfumo wa uendeshaji unaoendana na biashara yako hasa unapokosekana | Wateja watarajiwa kutokujua huduma na bidhaa zote zinazopatika muda huo pamoja na bei zake | Kutoona hali ya utendaji (performance) wa biashara yako muda wowote unapotaka kufanya hivyo |
| Ku-save kila namba mpya ya mteja wako na mteja mtarajiwa ili kuwasiliana nao vizuri | Kutoweza kukumbuka maendeleo ya kila oda hasa malipo na marejesho yaliyofanyika au huduma uliyotoa kabla ya kufunga mahesabu ya siku | Kuwasiliana na wateja wako wa zamani bila kuwatambua majina na huduma/bidhaa waliowahi kununua | Kutenga hela yako binafsi kutoka kwenye mapato ya biashara | Kutokua na ripoti yako ya mwezi ya biashara unayoifanya kwa urahisi | Kutoweza kufuatilia utendaji wa majukumu ya kila mfanyakazi katika kutimiza majukumu yake |
Tungependa kujua ni changamoto gani unazipata kwenye biashara yako.
Kabla hujapata nakala ya BURE ya Business Automation, tungependa ufanye Survey hapo chini.
Utapata nakala yako mara baada ya kumaliza survey.
Usiache kufuatilia ukurasa wa Instagram kupata free content, na unaweza ukatuandikia kupitia Whatsapp.
Wako katika pesa,
Gracing Money.
Follow us on Socials

Read More Blog Posts
Umesikia Kuhusu Mifuko Sita (6) ya Uwekezaji ya iTrust?
Mifuko ya Uwekezaji ni mingi…na itazidi kuongezeka Je, umesikia kuhusu Mifuko ya Uwekezaji ya Pamoja… Imeongezeka na itaendelea kuongezeka. Kwa sasa ipo…
UTT ni nini?
UTT ni njia rahisi ya kuwekeza kwa watanzania. Elewa inavyofanya kazi na jinsi ya kuanza kuwekeza. Inawezekana umesikia kuhusu UTT lakini…
Jinsi ya Kuingia Kwenye Soko la Fedha BILA KWENDA KINYUME
Mwongozo wa Muislamu Kushiriki Soko la Fedha kwa Njia Halali na ya Kiimani Umesikia watu wanaongea kuhusu uwekezaji, kila kona ya…
Je, Wewe Kuwekeza Kwenye Kampuni la NICOL Utakua ni Uamuzi
Je, Wewe Kuwekeza Kwenye Kampuni la NICOL Utakua ni Uamuzi Sahihi? Kwenye picha hapo juu ni swali zuri nimeshawahi kuulizwa, na lilikua…
Jinsi ya Kuendesha Biashara Yako BILA KUPOTEZA UHURU Wako wa
Soma mpaka mwisho kama, una biashara ya kutoa huduma (service based business) au kuuza bidhaa (brick-and-mortar business), lakini unakabiliana na changamoto hizi; ✔…
VITABU VITANO Vinavyoweza KubadilishaMtazamo WAKO Kuhusu Pesa YAKO
Unataka kubadilisha mtazamo wa uchumi wako? Vitabu hivi vitano (5) vinaweza kubadilisha unavyofikiri kuhusu kipato, akiba na kukuza pesa yako. 6…
