Umesikia Kuhusu Mifuko Sita (6) ya Uwekezaji ya iTrust?

Mifuko ya Uwekezaji ni mingi…na itazidi kuongezeka Je, umesikia kuhusu Mifuko ya Uwekezaji ya Pamoja… Imeongezeka na itaendelea kuongezeka. Kwa sasa ipo zaidi ya mifuko 18 hapa nchini kwetu. Kama ndio mara ya kwanza kusikia kuhusu Mifuko ya Uwekezaji au…








