Jinsi ya Kuanza MAISHA MAPYA YA UWEKEZAJI kwa Shilingi 10,000/= TU

Hauhitaji mamilioni ili kuanza kuwekeza. Jua jinsi ya kuwekeza kwa kianzio cha TZS 10,000/= tu. Umetamani kuwekeza lakini ukadhani unahitaji kiasi kikubwa sana kuanza? Kama jibu lako ni ndio, fuatana nami mpaka mwisho wa ujumbe huu. Emmanuel, kijana wa miaka…
