Jinsi ya Kuendesha Biashara Yako BILA KUPOTEZA UHURU Wako wa Muda

Soma mpaka mwisho kama, una biashara ya kutoa huduma (service based business) au kuuza bidhaa (brick-and-mortar business), lakini unakabiliana na changamoto hizi; ✔ Unapoteza muda mwingi kufanya vitu vinavyojirudia ✔ Wateja kukwazika na kuondoka wanaposhindwa kuhudumiwa vizuri na kwa wakati…