Jinsi ya Kuendesha Biashara Yako BILA KUPOTEZA UHURU Wako wa Muda

Kutoweza kuoanisha idadi ya mzigo ulioingia kwenye biashara na mzigo uliouzwa kwa urahisi na kwa wakatiKutokujua mauzo ya kila siku kwa urahisi na kwa muda mfupiKutojua mapema bidhaa gani zinakaribia kuisha ili kuongeza mzigo mapema zaidiKukosa appointment na wateja wako au wateja watarajiwaKutokua na rekodi ya matumizi yote ya biashara na tarehe zakeKutowatumia bei za huduma kwa wateja na watarajiwa kabla hawajatafuta biashara nyingine
Matangazo ya mtandaoni kutowafikia watu walengwa na kutokua na ‘active engagementKutumia muda mwingi kwenye ku-post biashara kila sikuKushindwa kujibu kwa wakati maswali ya watu wote walinaoulizia bidhaa au huduma walioiona kwenye matangazo yakoKutokua na mfumo wa uendeshaji unaoendana na biashara yako hasa unapokosekanaWateja watarajiwa kutokujua huduma na bidhaa zote zinazopatika muda huo pamoja na bei zakeKutoona hali ya utendaji (performance) wa biashara yako muda wowote unapotaka kufanya hivyo
Ku-save kila namba mpya ya mteja wako na mteja mtarajiwa ili kuwasiliana nao vizuriKutoweza kukumbuka maendeleo ya kila oda hasa malipo na marejesho yaliyofanyika au huduma uliyotoa kabla ya kufunga mahesabu ya sikuKuwasiliana na wateja wako wa zamani bila kuwatambua majina na huduma/bidhaa waliowahi kununuaKutenga hela yako binafsi kutoka kwenye mapato ya biasharaKutokua na ripoti yako ya mwezi ya biashara unayoifanya kwa urahisiKutoweza kufuatilia utendaji wa majukumu ya kila mfanyakazi katika kutimiza majukumu yake

Follow us on Socials

Read More Blog Posts

UTT ni nini?

UTT ni nini?

UTT ni njia rahisi ya kuwekeza kwa watanzania. Elewa inavyofanya kazi na jinsi ya kuanza kuwekeza. Inawezekana umesikia kuhusu UTT lakini…

Share your love
Grace Sambali
Grace Sambali
Articles: 55