Sababu 5 Nyepesi Kwa Nini Hauhitaji Kununua HISA YA SHILINGI 16,010/= Ili Kupata Faida Kubwa

1. Bei ya Hisa Haionyeshi Moja kwa Moja Faida ya Baadaye

2. Uchambuzi Utakaofanya Kabla ya Uwekezaji Utakupa Uhalisia

3. Bei ya Hisa Inaweza Kuwa Ghali Kuliko Thamani Halisi ya Kitabu

4. Kampuni Inaweza Isitoe Gawio Hata Kama Imepata Faida

5. Bei ya Hisa Inaweza Isibadilike kwa Muda Mrefu

Na kama ungependelea uwekezaji wa namna nyingine, unaweza kupitia Mifuko ya Pamoja ya Uwekezaji na Uwekezaji katika Hatifungani (Bonds).

Gracing Money!

Follow us on Socials

Read More Blog Posts

UTT ni nini?

UTT ni nini?

UTT ni njia rahisi ya kuwekeza kwa watanzania. Elewa inavyofanya kazi na jinsi ya kuanza kuwekeza. Inawezekana umesikia kuhusu UTT lakini…

Share your love
Grace Sambali
Grace Sambali
Articles: 55